Delivery included to the United States

Ukarimu Wa Maria

Ukarimu Wa Maria

Paperback (02 Jan 2019) | Swahili

Not available for sale

Out of stock

This service is protected by reCAPTCHA and the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

Publisher's Synopsis

Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake

Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa

na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo

yepi? Maria anamsaidiaje?


Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo

zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza

ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha

uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha

na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo

yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Book information

ISBN: 9789966641984
Publisher: Longhorn Publishers Plc
Imprint: Longhorn Publishers Plc
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 34
Weight: 68g
Height: 210mm
Width: 148mm
Spine width: 2mm