Delivery included to the United States

Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Paperback (06 Oct 2018) | Swahili

  • $12.43
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

HASHIL Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa Abdulrahman Babu waliopelekwa Cuba kwa mafunzo ya kijeshi kabla ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964. Baada ya Mapinduzi alipelekwa Indonesia kusomea sayansi ya ubaharia kwa miaka miwili na pia alipelekwa China kusomea uanamaji.Hashil Zanzibar alifanya kazi mbalimbali aliwahi kuwa afisa wa tatu katika meli za MV Africa na MV Jamhuri. Alipouliwa Rais wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume 1972, Hashil alikamatwa na kuwekwa jela ya Ukonga, Dar es Salaam, kwa muda wa miaka sita. Alipofunguliwa alikwenda Denmark kama mkimbizi. Baada ya miaka mitano akawa raia wa Denmark. Alifanya kazi katika meli mbalimbali za Kideni na baadaye alifanya kazi kwa miaka 20 katika Shirika la Haki za Binadamu la Denmark. Hashil ni mshairi na mwandishi wa vitabu vya riwaya.

Book information

ISBN: 9791092789072
Publisher: Lulu Press
Imprint: Dl2a Buluu Publishing
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 118
Weight: 150g
Height: 210mm
Width: 148mm
Spine width: 6mm